Ziara yangu Uhuru Park

Baada ya kutumia baadhi ya masaa ya asubuhi yangu katika eneo la kupumzikia la Uhuru, yaani Uhuru park, imenijia akilini kwamba maneno ya wakongwe wa kale wa Kiswahili waliosema, “tembea uone mengi”, yalikuwa ni ya ukweli mtupu. Hii leo niliamua kwamba kwa vile niko na wakati, ningeweza kutembea kutoka nyumbani kwangu hadi Mjini Nairobi nikizuru …

Continue reading