bear your soul… and so i did

bear your soul ”my dear friend, bear your soul bleed the blood root of your pain you have nothing but to gain a heart that is whole..”  So read the verse, And so I did.   For the first time in my entire life, I got up strolled to the great wall that surrounds my …

Continue reading

kiswahili cha tukuzwa kweli?

Nimekua nikiwaza kwamba hii lugha yetu pengine imedidimia kiasi kwamba hakuna atakae ijibu blogi hii. Aghalabu ni kwamba kiswahili sanifu hakizungumzwi tena humu nchini na hata nadra zaidi huko ulaya. Nivipi hivi sisi wana-nyayo tumekipuuza kiswahili kama ambae hatukukisoma? Katika kazi yangu nimeona biashara kadhaa ambazo nina maono kwamba ni biashara za kesho. Kunazo zile …

Continue reading