Chai Tamu – mapenzi na maisha mazuri

Haya, Imekuwa ni Kawaida sasa kwa Al Kags kuchapisha vitabu pepe, kama “Quarterly Colour Series of Poetry”, ambazo in safu za kizungu. Hii leo natoa mwito kwa waandishi wote wa Kiswahili hasa malenga wa Kiswahili. Al Kags ana panga kuchapisha kitabu pepe cha Kiswahili kiitwacho, Chai Tamu. Kitabu chenyewe kitawahadhiri washairi mbali mbali. Chai Tamu …

Continue reading

eti nini?

Mwanadada fulani eti kaniuliza kama najua kuandika kiswahili, kisha akapata mshangao nilipomjibu kihakika. Mwenyewe anaishi Bongo, kwao haswa ni huko Tz lakini makubwa ni kwamba yeye hajui kuandika kiswahili vile. Haidhuru. Jambo la muhimu ni kwamba amejiunga na sarakasi ya wanablogu – hata usiku wa manane – hii sasa ninazungumza nae kwenye hotmail – hii …

Continue reading

Discovering a proud son of Mumbi on a mission

One of my aunts one of whose major distinctions in life was to start my Gikuyu education at a very late age in life is visiting me from Malindi.  I took it upon myself to walk her through the virtual world of the net and as we discovered new places together, we came across Charuthi …

Continue reading