eti nini?

  1. Wewe! Ninajua kuandika Kiswahili, ila hai-flow kama English! Halafu inanichukua forever kuandika a simple paragraph. Nimeshajaribu sana, lakini nimeona tu niwaachilie nyie wazee. Labda siku mpja nitafanikiwa.

  2. Heko kwako kujitoa mhanga na matumizi murwa ya lugha halisi ya taifa. Huenda utamtia moyo dada huyu ajihamasishe nae pia kujieleza vyema zaidi na kwa ufasaha unaostahili.

  3. @Alexcia, it will be interesting to see you learn. You write black american fairly well – I think.

    @Akiey, wamuona mwanadada mwenyewe amejitokeza hapa ili kujitetea… tutamuhimiza bila shaka. Pengine una maarifa 🙂 ya kuwawezesha wengine kuzungumza?

    Nawatafuta wa shairi wa kiswahili kwa kitabu changu kijayo. waelezee wengine…

    Al Kags

  4. Mzee wa Pwani, umechapia kidogo! Naona lugha imekupiga chenga. NKN (Nacheka Kwa Nguvu). Hii inatakiwa kusema KIJAYO au KIJACHO, “… Nawatafuta wa shairi wa kiswahili kwa kitabu changu kijayo …”

  5. mwanadada usitie shaka. Kuteleza sio kwanguka. NKN, Mambo haya ni yale yale… ‘japokuwa naweza kujitia kwamba nimezungumza lafudhi nyngine tu… kujitetea sishindwi.

    tupendane tujengane, bibiye…

    Al Kags

  6. @ Akiey, mwanadada tumemleta nyumbani waona. Uzungu ameutupilia mbali. Vidapa amevitupa sasa anazungumza kama sisi.

    Kazi nzuri, mwafrika

  7. Waswahili hamjambo? Za kuamka… kushinda? Hongereni kwa jitihada zenu kuitukuza lugha hii tukufu ya Kiswahili. Nami nawaunga mkono.

Comments are closed.

Read Next

Sliding Sidebar